WHAT IS THE MEANING OF "SEEDING" IN TORRENT?

usaname

Member
Nov 4, 2015
19
1
Nimedownload game kwenye torrent mpaka likafika 100% baada ya hapo naona imeganda huku imeandika seeding maana yake ni nini nimesubir had bas hata sielewi msaada jamani!!
 
Seeding is where you leave your BitTorrent client
open after you've finished your download to help
distribute it (you distribute the file while
downloading, but it's even more helpful if you
continue to distribute the full file even after you have
finished downloading).
>by Google
 
mkuu torrent kwa lugha nyengine unaweza kuiita nipe nikupe network. yaani unapodownload kitu na wewe unakuwa unawapa wenzako wakidownload.

hapo kwako inaandika seeding inamaanisha umeshamaliza kudownload hilo game na sasa hivi unatumia internet yako kuwapa wenzako walidownload maeneo mbali mbali duniani.

kama internet yako ni unlimited unaweza ukaacha liseed kwa mda hadi utosheke, kama internet ni ndogo right click halafu chagua stop.
 
Umeshamaliza kudownload lakinibwatu wanaendelea kudownload kutoka kwako.
So hiyo ipo tayari kutumia unavyotaka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom