Cendy
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 1,249
- 2,307
wakuu habarini kwanza, nina shida kwenye simu yangu aina ya samsung galax hivi karibuni imeanza kuonesha kuwa imejaa huku kuna nafasi bado kubwa tu ya kutosha nikaamua kufuta kila kitu hadi program bado inaniletea hao ujumbe na haikubali ku install program nimeweka sd card bado tu haikubali
nifanyeje wakuu maana hii simu naipenda au shida nini
nifanyeje wakuu maana hii simu naipenda au shida nini