mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Narudia hakuna anaopenda upoteze sim ila hii hutokea kama ajali. Zifuatazo ni mbinu simple za kupitia ili kulinda sim yako endapo itapotea.
Hujaona nini mkuu?Dah!.. Kama sijaziona vile, sijui nina makengeza!...
Karibu mkuu nafurahi sana nnapopata update ama feedback kutoka kwa watuShukrani sana kwa elimu yako. Gonga juu ya hizo picha kuna video
Somo zuri, ngoja nilifanyie zoezi
Shukrani sn mkuu kwa hili somo
nimekuPMSafi sana kaka nilitaka unielekeze vizur naweza pata r contact samahani,sim yangu ni tofaut kidogo
Narudia hakuna anaopenda upoteze sim ila hii hutokea kama ajali. Zifuatazo ni mbinu simple za kupitia ili kulinda sim yako endapo itapotea.
Nimekupm namba mkuuKk samahi sim yng tofaut kidogo nawezaje wasiliana nawe,unielekeze vizur
karibu mamyloveAsante kwa somo
KaribuSomo zuri mtaalam
Asante mkuuHii imetulia sn