Hii ni computer au mzimu

Mar 4, 2013
93
9
Wapendwa wana jf nina computer yangu dell latitude inaleta rangi rangi kama mawingu kwenye monitor mpaka nashindwa kuendelea na kazi zangu kwenye computer yangu. Jamani msaada tafadhari wana janvi
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Je! kioo cha display yako haijapata ajali yoyote ile kama vile kugongwa?
Ila kwahapo tatizo linawezekana likawa ni display mbovu.
 
Je! kioo cha display yako haijapata ajali yoyote ile kama vile kugongwa?
Ila kwahapo tatizo linawezekana likawa ni display mbovu.
Kioo hakijapata ajali yeyote, yaani unakuta inadisplay vizuri lakini baada ya mda yanatokea kama mawingu mawingu yenye rangi mbali mbali
 
kwa tatizo lolote laptop and desktop nione kwa bei nafuu. hapa ni just vga cable.badilisha cable ya kutoka kwenyr cpu kwenda monitor
 
Wapendwa wana jf nina computer yangu dell latitude inaleta rangi rangi kama mawingu kwenye monitor mpaka nashindwa kuendelea na kazi zangu kwenye computer yangu. Jamani msaada tafadhari wana janvi
Huo ni mzimu mkuu
 
Kioo hakijapata ajali yeyote, yaani unakuta inadisplay vizuri lakini baada ya mda yanatokea kama mawingu mawingu yenye rangi mbali mbali
ok je computer yako ni dell latitude d620 au d630 kama ndio hizo zinakua na ugonjwa wa grahics adapter unaweza kunicheki nika-fix hiyo motherboard.. just pm
 
Bila shaka ni tatizo la vga, zima na iwashe katika self mode then fanya system restore....
 
1. Angalia vga cable kama imechomekwa vizuri pande zote kwenye monitor na kwenye cpu.
2. namba moja ikikataa jaribu kubadiki vga cable.
3. Hapo pia ikakataa jaribu kubadiki vga card ( au weka vga card kama unatumia on board vga)
4. Mwisho kabisa yote yakikataa jaribu monitor nyingine.

Option hizi utafanya baada ya kujiridhisha kuwa vga drivers zako zipo ok
 
Back
Top Bottom