DIGITAL TV Channels

sandman

Senior Member
Jun 19, 2014
197
27
Wakuu, kuna mtu yoyote bado anapata digital channels (FTA) through tv zenyewe internal receivers (bila kutumia king'amuzi cha nje) kwa wale waliokuwa wanazipata hapo awali.?

Kwangu zimepotea kabisa.
 
Zimepotea au Ziko Scrambled maana hizo ni terms mbili tofauti.

Nimejaribu Funga Antenna ya Terrestrial kwa ajili ya T2 receiver nimepata Channel Nne tu ndo ziko free
TBC1,CH10 na Channel mbili za dini za Continental something Africa TV na Morning Star TV.
Nafikiri wengi mlikua mnapata zile za continental ambazo ziko encrypted kwa sasa
 
First nilikuwa napata channels zaidi ya 15 kwa kutumia zile indoor antenna za first startimes version. Later on zikaanza kuwa scrambled zote, nikafanya tuning upya with no luck.

Now kwenye new Tv (DVB-T/T2) hakuna any channel inayokamata.. 0 Results during search.
 
Wakuu, kuna mtu yoyote bado anapata digital channels (FTA) through tv zenyewe internal receivers (bila kutumia king'amuzi cha nje) kwa wale waliokuwa wanazipata hapo awali.?

Kwangu zimepotea kabisa.
Yap mi bado napata kama kawaida channel zaidi ya kumi na mbili ispokuwa clouds tv tuu.
 
First nilikuwa napata channels zaidi ya 15 kwa kutumia zile indoor antenna za first startimes version. Later on zikaanza kuwa scrambled zote, nikafanya tuning upya with no luck.

Now kwenye new Tv (DVB-T/T2) hakuna any channel inayokamata.. 0 Results during search.
0 results means kuna shida hapo along the way kutoka Antenna hadi kwenye TV labda kuna mahala waya ume detach
 
Back
Top Bottom