Your computer need to be cleaned

Jan 1, 2014
74
11
wakuu habari za saa hizi?
naomba msaada pc yangu inashindwa kuingia kwenye accout yangu ya facebook lakini nikijaribu account nyingine za facebook tofauti na yangu inakubali kama kawaida lakini kwenye accout yangu kila nikijaribu ku LOGIN inagoma na kuandika ujumbe ufuatao ''Your Computer Needs to Be Cleaned

1U2ftI0b2hV.png

It looks like your computer is being affected by malware. We’ll help you fix the problem to keep your account secure and prevent malware from spreading to friends''.


Malware is software that tries to steal personal information and causes problems when you use Facebook. Clicking or sharing links that contain spam can give your computer malware.
safe_image.php
 
Back
Top Bottom