mtzmweusi
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 8,640
- 8,966
Wakuu habari nina modem tajwa hapo juu naombeni msaada jinsi ya kuiunlock mana nilipo internet ya voda ni janga CHIEF MKWAWA na wengineo msaada
DC Unlocker wana Android app iko kwenye testing zone hivo hiyo router kama inaingiza Unlock codes jaribu ku calculate uone majibuWakuu habari nina modem tajwa hapo juu naombeni msaada jinsi ya kuiunlock mana nilipo internet ya voda ni janga CHIEF MKWAWA na wengineo msaada