Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
wakuu hapa Tanzania wengi tunajua malipo ya DSTV yalivyo juu PREMIUM ni TZS. 200,000 Lakini South Africa ni TZS. 91,081 So ni very cheap sana.
Swali nikinunua decoder hii south Africa na ku register huko itakua inaonesha na nitakua nalipia kwa hizo ZAR ambazo ni bei rahisi pia? au nitatakiwa ku register TZ tena?