JfBro
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 587
- 160
Habari wakuu, ninaomba kujulishwa nini kinachosababisha simu kupata moto kipindi unatumia, mfano Mimi nikiwa natumia simu yangu kwenye mambo ya internet kama WhatsApp, Google,Instagram na vingine huwa simu yangu inapata moto sana ukiishika kama vile imekaa juani ,naomba kujua kwanini hili tatizo linatokea na suluhisho lake ni nini???