issawema
JF-Expert Member
- May 30, 2013
- 776
- 643
nmeflash tecno boom J7 na stock rom ilipowaka ikawa haina imei namba nkawrite imei namba kwa kutumia mobile uncle, ikakubali lakin nlipoweka line ina niambia SIM LOCK(insert MTN SIM) sasa naomba msaada wana jamvi jinsi ya kufix hii kitu
Ikumbukwe nlifanya hyo kitu bila kuhusisha box wala fundi kwahyo ushauri wako pia usiwe niende kwa fundi maaana hyo itakuwa last option
karibuni
Ikumbukwe nlifanya hyo kitu bila kuhusisha box wala fundi kwahyo ushauri wako pia usiwe niende kwa fundi maaana hyo itakuwa last option
karibuni