Nanunua modem changamka ewe muuzaji

Nanunua modem changamka ewe muuzaji

God'sBeliever

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2015
Posts
5,788
Reaction score
3,068
habari za leo wakuu natafta mwenye hizi modem zantel E3131 au huawei Hi mini369 mwenye nazo ani pm haraka sana.
ahsante.
 
mpya ndugu hata used ntachukua kwani na shida sana

Sasa hapa bongo hamna mtu wakuweza ku Import hizo Nje wanauza Bei kubwa
Hivo utakayotaka hapa lazima iwe Used au Uende Ununue Zantel wanaziuza 30,000/= lakini ipo Locked
Ila ku Unlock ni rahisi sana.
Ila pia Tigo wanauza modem za 4G speed mpaka 150Mbps na 3G speed mpaka 43Mbps bei 50,000/= lakini wanakupa 90GB Free
Bado hauitaki hiyo?
Kuna Modem za Tigo za 3G bei 35,000/= Speed 43Mbps.

Labda wewe umejipanga vipi kwani Mkuu?
 
nashukuru sana mkuu nitanunua ya tigo nifaidido hizo free gb pia wasiwasi wangu ni speed mtnandao wa tigo uko slow sana hasa hii mikoa ya kusini. je inafaa kuflash ili niweke halotel na zantel? kwa sababu ina spid kubwa? je hiyo modem itansumbua ijapokua natumia mitandao mingine maana mmk napakua movie ndefu sana so nafocus kwenye speed.
ahsante kwa kunifungua akili nliku sijui izo za tigo 43mbps. ila ntachukua 4g sababu hata iyo 3g ipo. ntoe ofu ya speed mkuu.
 
Ndio zinatoka Lock bila shika ila sasa upo Kusini ya wapi maana hizo Modem zinapatikana Mikoa yenye 4G tu.

Kuhusu Speed hiyo ndo Modem ambayo inafunika sasa hivi interms of Price and Speed
 
iringa mjini naona 3G itanifaa huku. nashukuru kwa msaada mkuu.
 
Sasa hapa bongo hamna mtu wakuweza ku Import hizo Nje wanauza Bei kubwa
Hivo utakayotaka hapa lazima iwe Used au Uende Ununue Zantel wanaziuza 30,000/= lakini ipo Locked
Ila ku Unlock ni rahisi sana.
Ila pia Tigo wanauza modem za 4G speed mpaka 150Mbps na 3G speed mpaka 43Mbps bei 50,000/= lakini wanakupa 90GB Free
Bado hauitaki hiyo?
Kuna Modem za Tigo za 3G bei 35,000/= Speed 43Mbps.

Labda wewe umejipanga vipi kwani Mkuu?

mkuu naomba unisaidie ku unlock hio tigo 4G mimi sina ujuzi wa hayo mambo naogopa risk nisije kujilau wkati mtaalamu niko nae.
 
Umeshainunua Hiyo Modem au unauliza ku confirm kama zinatoka Lock?
Hizo zinatoka Lock kwa kuweka tu Unlock Codes japo hizi ziko Unique hazitumii IMEI
 
mkuu nlitaka tufanye biashara kwa kua upo fam naomba unitaftie uiflash sababu ndo target halaf ntakutimia pesa kwa namba yako ya simu mimi utanitumia hio modem kwa bus ntashukuru kwa. sapot. ninaomba tuuongee zaid pm.
 
Sasa hapa bongo hamna mtu wakuweza ku Import hizo Nje wanauza Bei kubwa
Hivo utakayotaka hapa lazima iwe Used au Uende Ununue Zantel wanaziuza 30,000/= lakini ipo Locked
Ila ku Unlock ni rahisi sana.
Ila pia Tigo wanauza modem za 4G speed mpaka 150Mbps na 3G speed mpaka 43Mbps bei 50,000/= lakini wanakupa 90GB Free
Bado hauitaki hiyo?
Kuna Modem za Tigo za 3G bei 35,000/= Speed 43Mbps.

Labda wewe umejipanga vipi kwani Mkuu?
mkuuu hiii moderm ya tigo ntaweza ku unlock iwe inatumia mitandap.yote
 
Hizo za tigo umesema 4G ni tsh 50,000. Na unapata 90 GB? Wanauza wapi maana nazitaka hizo please. Kama zina speed ya ukwel kwel

Sasa hapa bongo hamna mtu wakuweza ku Import hizo Nje wanauza Bei kubwa
Hivo utakayotaka hapa lazima iwe Used au Uende Ununue Zantel wanaziuza 30,000/= lakini ipo Locked
Ila ku Unlock ni rahisi sana.
Ila pia Tigo wanauza modem za 4G speed mpaka 150Mbps na 3G speed mpaka 43Mbps bei 50,000/= lakini wanakupa 90GB Free
Bado hauitaki hiyo?
Kuna Modem za Tigo za 3G bei 35,000/= Speed 43Mbps.

Labda wewe umejipanga vipi kwani Mkuu?
 
Sasa hapa bongo hamna mtu wakuweza ku Import hizo Nje wanauza Bei kubwa
Hivo utakayotaka hapa lazima iwe Used au Uende Ununue Zantel wanaziuza 30,000/= lakini ipo Locked
Ila ku Unlock ni rahisi sana.
Ila pia Tigo wanauza modem za 4G speed mpaka 150Mbps na 3G speed mpaka 43Mbps bei 50,000/= lakini wanakupa 90GB Free
Bado hauitaki hiyo?
Kuna Modem za Tigo za 3G bei 35,000/= Speed 43Mbps.

Labda wewe umejipanga vipi kwani Mkuu?
Mkuu vipi kuhusu modem za voda zte r 206 jinsi ya kuunlock
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom