Samsung s22 Ultra vs iPhone 14 Pro Max

Juzi iphone wametoa ios mpy 16.4 chaajabu na cha kushangaza vitu vipya walivyoweka vinapatikana kwenye android kit kat uko ambayo ilitoka miaka zaid ya 5 nyuma...
.
So far ubora wa iphone unabebwa na jin lake na kuwa ni bidhaa ya mmarekani ila kiukwel iphone ni simu ya kawaida hakun kitu ambacho kipo kweny iphone hakipo kweny samsung
 
acha tu Mkuu yaani apple sikuhizi wakitoa update Mpya ukiangalia unaona ni kama hamna kitu kipya walichoongeza. Kwenye 16.4 una update ili kupata emoji za farcis kweli :D:D. Sina uzoefu sana na samsung ila kwaupande wa apple wanajitahidi sana kwenye upande wa hardware na durability ya device.
 
Ingia website ya gsm Arena ufanye comparison ya hzo simu 2, kule wameainisha kila kitu.
technical specifications zimekaa kitaalamu sana asee kiasi kwamba Simu inaweza ikawa na technical specs Nzuri kuzidi Simu Nyingine na bado ikawa na perfomance mbaya kuliko Simu yenye specs za kawaida. Kwahyo ukisema uchague simu kwa kuangalia tech specs unaweza ukajichanganya tu. Ni bora kuikagua Simu kwa kuishika mkononi
 
Baadh ya watumiaj wa iphone wanalalamika percentage za battry zinashuka haraka san hvo sim inapungua thaman na chaji hazikai.. chukua galaxy hio mzee
 
Chukua iPhone 14 Pro Max.
*Hapo iPhone 14 Pro Max inatoa picha nzuri, inarekodi video nzuri, software yake inakuwa supported muda mrefu zaidi kuliko ya Samsung, inatunza chaji kwa 39% zaidi ya S22 Ultra, inatumia Bluetooth version mpya zaidi (v5.3), na bado ina performance kubwa zaidi ya hiyo Samsung, display yake inafikia peak brigtness ya 1748nits ambayo ni 39% kuliko ya Samsung ambayo ni 1254nits n.k

iPhone 14 Pro Max inashindanishwa na Samsung Galaxy S23 Ultra na sio S22 Ultra.
 
Baadh ya watumiaj wa iphone wanalalamika percentage za battry zinashuka haraka san hvo sim inapungua thaman na chaji hazikai.. chukua galaxy hio mzee
iPhone za miaka ya nyuma hizo. iPhone 14 Pro Max inatunza sana chaji kama tu hizi Infinix za laki 3. Kwa mfano
*Kwenye kuperuzi mtandaoni iPhone 14 Pro Max inadumu na chaji kwa masaa 15 na dakika 2 wakati S22 Ultra inadumu masaa 11 na dakika 20
*Kwenye kuangalia video iPhone 14 Pro Max inadumu masaa 21 na dakika 10 wakati S22 Ultra inadumu masaa 14 na dakika 43
*Kwenye kucheza games iPhone 14 Pro Max inadumu masaa 7 na dakika 13 wakati S22 Ultra inadumu kwa masaa 5 na dakika 53
*Standby time ya iPhone 14 Pro Max ni masaa 156 wakati standby time ya Samsung Galaxy S22 Ultra ni masaa 109.

*Ikiwa unataka flagship ya Samsung inayotunza chaji kama iPhone 14 Pro Max basi nunua Samsung Galaxy S23 Ultra na sio S22 Ultra.

Sikuhizi iPhone anawakimbiza sana kwenye suala la ukaaji chaji upande wa flagship.
 
Kwanza kabisa ulinganifu wa hizo simu si Sahihi ilitakiwa kufanya haya ulinganishe
Samsung S23 ultra na iPhone 14 pro max hizi simu ndio zina current software ana hardware
Kwa ulinganifu wa hapo juu chukua iphone 14 pro max
 
iPhone za miaka ya nyuma hizo. iPhone 14 Pro Max inatunza sana chaji kama tu hizi Infinix za laki 3. Kwa mfano
*Kwenye kuperuzi mtandaoni iPhone 14 Pro Max inadumu na chaji kwa masaa 15 na dakika 2 wakati S22 Ultra inadumu masaa 11 na dakika 20
*Kwenye kuangalia video iPhone 14 Pro Max inadumu masaa 21 na dakika 10 wakati S22 Ultra inadumu masaa 14 na dakika 43
*Kwenye kucheza games iPhone 14 Pro Max inadumu masaa 7 na dakika 13 wakati S22 Ultra inadumu kwa masaa 5 na dakika 53
*Standby time ya iPhone 14 Pro Max ni masaa 156 wakati standby time ya Samsung Galaxy S22 Ultra ni masaa 109.

*Ikiwa unataka flagship ya Samsung inayotunza chaji kama iPhone 14 Pro Max basi nunua Samsung Galaxy S23 Ultra na sio S22 Ultra.

Sikuhizi iPhone anawakimbiza sana kwenye suala la ukaaji chaji upande wa flagship.

Umeeleza vizuri sana na pia kwa upande wa software ya iOS unaweza kuwa customization kidogo kama ya android hapo ya sumsung inatisha sana hapo watabiri wa mambo wanadai iOS 17 itakuwa android kabisa
 
iOS wakitoa restrictions kama EU wanavyotaka hizi simu nitaanza kuzipenda tena.
Kwa sasa restrictions zao sizipendi. Natamani hiyo iOS itolewe restrictions
 
Back
Top Bottom