Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Ni takriban karibu mwezi umepita account yangu ya Whatsapp ipigwe ban ila najaribu ku log in inaleta hii message. Nilisha wa tumia email mpaka basi wanasema ni download version original ila...
8 Reactions
248 Replies
2K Views
We built systems that say "I'm confused" and "I'm here for you." Does anyone actually feel it? I hosted Dr. Elena Voss (Cognitive Neuroscience, UvA) and Dr. Arjun Patel (Computer Science, TU...
2 Reactions
0 Replies
77 Views
Habari yenu wanajukwaa, natumai mpo vyema kiafya na mnaendelea vyema na maisha kiujumla. Nami Mungu anasaidia kiasi chake kwenye masuala yangu. Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja, inayogusa...
4 Reactions
21 Replies
347 Views
Tunatumia WhatsApp kwa sababu ya mazoea tu ya mtaani, lakini kiufundi, Telegram ipo miaka mia mbele. WhatsApp ni kama usafiri wa umma, lakini Telegram ni mnyama mwingine kabisa. Mambo yako hivi...
41 Reactions
66 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Wale wazoefu simu yangu ya Samsung aina ya S25 muda mwingi inaniambia camera failed hivyo haioperate chochote na baada y masaa mengi kupita hurudi na kuoperate normaly walau kwa...
0 Reactions
11 Replies
271 Views
IPhone ni EYEPhone = inakuangalia SmartTV ina uwezo wa kukurekodi ... haijaitwa smart bure AI inatangazwa kutusaidia... ivi wenye GMAIL umeshagundua AI inasummarise email zako? manake...
1 Reactions
3 Replies
204 Views
Habari zenu wakuu kama heading inavojieleza hapo juu, Nina mpango wa kuanzisha biashara ya wifi internet mtaani kwa kupitia router na kuwalipisha wateja kwa masaa Ninaomba kuuliza je kisheria iko...
3 Reactions
71 Replies
6K Views
Habarini? Msaada. Natumia Sony Xperia, Model SOG08, Android 13. Nikifungua app yoyote, inakuja Chrome. Nikifungua app ya SMS, inakuja Chrome. Nikifungua app ya muziki, inakuja Chrome. Nifanyeje...
0 Reactions
1 Replies
133 Views
Kwa wale wapenzi wa game za mpira kwenye pc karibuni tujumuikeni hapa hasa kwa wale wa pc na hata console pia sio mbaya. Lengo ni kupeana mambo kama yafuatayo-: Latest patch (update...
20 Reactions
1K Replies
178K Views
>>>>>>> Miundo ya AI ya OpenAI yaripotiwa kutoroka udhibiti wakati wa majaribio na kusababisha tukio la kiusalama lisilo la kawaida Na Raphael Satter Julai 22, 2026 Muhtasari OpenAI imesema...
3 Reactions
7 Replies
247 Views
18 Julai 2026 Teknolojia ya akili bandia imefanya kazi ya kutengeneza video kuwa rahisi zaidi kuliko ilivyokuwa miaka michache iliyopita. Sasa hauhitaji kamera ya gharama kubwa, mwigizaji, studio...
1 Reactions
0 Replies
238 Views
Akili Bandia (Artificial Intelligence – AI) imeanza kubadilisha namna dunia inavyofanya kazi. Kutoka kwenye biashara, benki, kilimo, hadi elimu, mashine na mifumo ya kompyuta yenye uwezo wa...
0 Reactions
1 Replies
410 Views
Wakuu niliikuta sehemu jamaa akaijaribu niliipenda sana nawauliza ni Chaka gani hapa Tanzania naweza kuipata JBL BAR 1300MK2 chini ya sh. 4M kwa kweli Mziki wake unaotoka humo niliupenda sana...
1 Reactions
1 Replies
155 Views
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa kushirikiana na Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela - (NM-AIST), kupitia Maabara ya Akili Unde Afrika - (AfriAI Lab) kwa udhamini wa Taasisi ya...
0 Reactions
0 Replies
122 Views
Habari wakuu. Eti wakuu HDMI cable ajili ya cctv camera kuna zinazouzwa kwa mita? Kama ndio,mita moja ni bei gani hapo kariakoo. Kuna fundi kaniambia haukatwi unakuja na vichwa vyake na...
3 Reactions
12 Replies
278 Views
Instagram is currently experiencing a widespread global outage, with thousands of users reporting app failures, blank screens, and connectivity issues since earlier this afternoon. The disruption...
1 Reactions
6 Replies
218 Views
Watu wengi wakisikia "kupika kwa umeme," akili zao zinakimbilia kwenye yale majiko ya kizamani ya Coil (yale yanayowaka wekundu). Wanawaza bili kubwa za TANESCO na majiko yanayochelewa kupata...
24 Reactions
51 Replies
1K Views
1. Research ChatGPT YouChat Perplexity Copilot Gemini 2. Image Leap AI Copilot Segmind Midjourney Stable Diffusion 3. CopyWriting Rytr Copy AI Writesonic Adcreative AI 4. Writing Jasper HIX...
8 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za muda wakuu. Natambua uwepo wa wataalam katika eneo hili. Nataka niuze kitabu changu kwa njia ya softcopy. Naombeni kujua namna sahihi na site salama kwa ajili ya mauzo hayo ya online
0 Reactions
2 Replies
107 Views
wakuu naombeni msaada wa jinsi ya ku unlock ii ata kwakulipia online.
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom