Natafuta fundi projector

Natafuta fundi projector

Jamani mm sio fundi kila mara mnasema nifafanunue vzr kama ww ni fundi sema nikuletee uiangalie tatizo nini uitengeneze
 
Au watasema lamp inasumbuaje? Nieleze tatizo kwa ufasaha
 
Pole. Lengo kuu ni kupata maelezo yanayojitosheleza ili msaada utolewe, kwani ni wewe mwenyewe uliyetoa maelezo nusu-nusu yanayosababisha uulizwe maswali mengi hadi habari kamili ipatikane.
Hongera kwa kujisahau.
 
Au watasema lamp inasumbuaje? Nieleze tatizo kwa ufasaha

Ninakuuliza hivyo, ili ueleze vizuri, kwani projector sio kama tv kuwa unapeleka kwa fundi tu, inatengenezwa na hususani ikiwa ni lamp hakuna ufundi hapo zaidi ya replacement tu, lasivyo utaliwa pesa yako tu, na tatizo liwe pale pale. Na hiyo kama ni lamp, pole sanaaa!! Kwani sijajua aina yake ila bei yake na upatikanaji wake mmmm!!! Tatizo kubwa la projector ni lamp, kwani huwa zina masaa ya kutumika, yakiisha tu basi inaungua tafuta nyingine, sasa watu ambao hawajui hilo huwa wanaingizwa king kila siku, mwishowe wanalitupa tu store, kwani lamp tu si chini ya laki 250!!!
 
Kwa uzoefu wangu, hakuna Fundi Wa projector Tanzania. Hao wanaojiita mafundi ni wababaishaji tu. Niliangaika nayo mpaka nikaipeleka Nairobi ndio waliweza kuifix. Ilikuwa ni Epson brand.

Tiba
 
Hongera.
Inaonekana ni wewe tu mwenye projector Tanzania nzima.

  • Ulitumia muda gani kuzunguka nchi yote kukutana na fundi mmoja mmoja hadi wote wakaishindwa projector yako?

  • Projector ikiharibika lazima iwe na tatizo kama ililokuwa nalo projector yako tu,mengine hakuna?:shock:
 
Natafuta fundi projecter nina projecter inasumbua lenzi
Hivi unajua kuwa projector maisha yake ni hiyo lens? Huwa ikifika mwisho wake ndo mwisho huo..usinunue projector used..
Printer na hizo projector zina life span yake ikiisha imeisha nunua mpya hakuna fundi utaliwa tu pesa
 
Habari. Ni lens au taa? Ikiungua power supplly pia unabadili lenz inapona?
Kama tatizo ni taa, ukiweka mpya au ukafanya modifications ukaweka taa ya LED haitapona?
Kumbuka duniani watu tunatofautiana uwezo, ninapoishia mimi, ndipo wewe unapoanzia na kusonga mbele, unavuka limit niliyokuwekea kwa Mimi kudhani ndo najua kuliko wote na hakuna haja ya kujifunza mambo mapya.
KARIBU TUENDELEE KUJIFUNZA.
 
Mshana Jr kama unamaanisha taa ya projector, japo lens pia inaweza kuchubuka au kuharibika kwa namna nyingi
, kama component yeyote ya electronics inavyoweza kuharibika, sina neno. Taa pia ukipata replacement yake inaendelea kufanya kazi. Hebu tafiti zaidi. ELIMU HAINA MWISHO
 
Kama una menu yake angalia lifespan ya taa/jicho ni masaa mangapi.. Kuna baadhi zina meter inayokuonesha masaa yaliyokwisha tumika na yaliyobakia
 
Mkuu nakuomba pm
 
Kama una menu yake angalia lifespan ya taa/jicho ni masaa mangapi.. Kuna baadhi zina meter inayokuonesha masaa yaliyokwisha tumika na yaliyobakia
Yangu inatatizo la kujizima yenyewe shida nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom