Kwa wajuzi wa sheria za tec hii imekaaje?

AI BRAINFULL

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2019
Posts
1,994
Reaction score
5,104
Kwanini matumiz ya vifaa vya mawasiliano vilivyoungwa au kutumia satelaiti ni haramu kwa matumizi ya kijamii na ata ukitaka kutumia kihalali basi utakutana na vikwazo vingi sana tena nimegundua nchi nyingi apa duniani wanakataza wananchi wake kutumia asa simu za satelaiti je kwanini?
 
Nchi nyingi ukikutwa na simu za satelaiti au kifaa chenye mawasiliano yake kesi yake ni kubwa sana je kwanini?
 
Kwanini matumiz ya vifaa vya mawasiliano vilivyoungwa au kutumia satelaiti ni haramu kwa matumizi ya kijamii na ata ukitaka kutumia kihalali basi utakutana na vikwazo vingi sana tena nimegundua nchi nyingi apa duniani wanakataza wananchi wake kutumia asa simu za satelaiti je kwanini?
Wataalamu wanakuja
 
Back
Top Bottom