Wakuu, baada ya kuhama kutoka OS za Windows nimeamua kujikita kwenye OS za Linux.
Baada ya kupitia machapisho mbali mbali na kufuatilia tutorials mbali mbali za video niliona nijikite kwenye...
Habari ya uzima mkuu nimepata dell precision m6300
video card ni NVIDIA Quadro FX 1600M - 256
MB
Hapa vip mkuu kwa game kama gta 5 na fifa 16 pia warcraft
Habari wana jamii forum naomba kuuliza hivi mimi natumia simu tecno j8 lkn nikitumia kwa muda mrefu labda kwa siku hata masaa matatu kichwa kinauma sana na macho yana vuta sana kuna wakati nasikia...
Hi! Kila nikiwa nataka ku log in instagram inaleta ujumbe huo kwenye picha...nimejaribu ku uninstall na ku reinstall bado inaleta huo ujumbe...nini shida hapo jamani
WanaJF,
I would appreciate input on possible options for a remote non-forensic SMS collection. We have 20-22 custodians from whom we would like to collect SMS messages. These are the type of...
Kama kichwa cha habari kinavyosema mm natengeneza circuit zifuatazo za kielectronic:
1:security system which will switch on the buzzer when it sense the presence of human
2:automatic night light...
wakuu naomba mnijuze gharama za kutengeneza na kumiliki website?
ni hatua gani za kufuata? kuna usajili unahitajika?
ni website ambayo itakuwa na taarifa ya vitu kama 2,000 na watu watakuwa...
During the height of the Cold War, a few US spy satellites changed our view of the Universe forever.
In 1963, a year after the Cuban Missile Crisis nearly plunged the world into nuclear war, the...
Habari wanajamvi.
Tangu niliponunua hii simu mwaka 2015 nilikuwa napata tabu kuaccess PlayStation App maana nilikuwa naambiwa hii huduma haipatikani nchini kwangu.
Nilijaribu kuwasiliana na Sony...
Unlocking huawei 4g modem of any network is not easy it need a high technology and most of time it need the money for buying the unlock code, why do the people sells the unlock code? and did they...
POLISI TANZANIA WAMFANYA TUNDU LISSU KUWA MTU MASHUHURI DUNIANI APATA HITS MILLIONI 82 KATIKA SEARCH ENGINE YA GOOGLE NYINGI KUTOKA AUSTRALIA, MAREKANI NA ULAYA WAKITAFUTA (SEARCH) NENO TUNDU...
Mwanafunzi wa Darasa la 12 nchini Namibia ametengeneza simu isiyokuwa na sim card na wala haitumii muda wa maongezi kupiga simu.
Kwa mujibu wa New Era report, Simon Petrus mwanafunzi wa Abraham...