Electronics circuit design

Electronics circuit design

cyber ghost

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2015
Posts
239
Reaction score
162
Kama kichwa cha habari kinavyosema mm natengeneza circuit zifuatazo za kielectronic:
1:security system which will switch on the buzzer when it sense the presence of human
2:automatic night light systems
3😛assword based circuit breaker
4😛assword based doors
5:Automatic water level control for water pump
6:Automatic irrigation system control circuit
7:Visitors counter for hotels and can be used for mining places
8: gsm based projects
9:Arduino based projects
10:Incubators
Kwa maelezo zaidi piga namba 0715277821
 
Incubator unatengeneza zile za mafuta ya taa au ambazo ni digital. Unaweza kutengeneza ambazo unaweza kuiembed na android phones.
 
Mkubwa hiyo auto night light system inauzwaje? Pia itakuwa poa kama ukiweka bei ta vitu vyote hadharani ili tujipime ubavu
 
Automatic light system haiuzwi complete unachopaswa kununua ni Sunlight sensor au photocell na contractor, Sensor hii inaweza kufanya switching ya kitu chochote sio taa tu yani chochote kutokana na mabadiliko ya mwanga mfano mwanga ukimulika ita tenganisha circuit na vifaa ulivyoviunga vitazima ,Mwanga ukipotea vitawaka vise vesa Nunua photocell, Contractor then mtafute fundi huyu aliepost uzi Nimejibu kwa niaba
 
Mm sasa natengeneza hiyo circuit ya photocell kwenye pcb then ndio nakuuzia circuit yenyewe ambayo itakua kama hiyo photocell ya kununua
 
Incubator unatengeneza zile za mafuta ya taa au ambazo ni digital. Unaweza kutengeneza ambazo unaweza kuiembed na android phones.
Sitengeneze na mafuta ya taa pia kui embedded na android os sijawai fanya ila umenipa wazo ngojea nifikirie codes zake kama nitaweza
 
Kwenye hiyo circuit number moja pia unaweza itumia kwenye sehemu kama chooni,bafuni,washing rooms kwamba sehemu hizo taa zitawaka tuu pale kunapokuwa na mtu maeneo hayo then unakua umesave the cost of electricity kwa kusahau taa ikiwaka muda wote
Pia circuit hii inaweza undwa ikifungwa kwenye mabomba ya maji kiasi kwamba maji yatatoka tuu pale mtu atakapokuwa eneo la bomba kwa mfano sehemu za kukojolea au kunawia mikono
 
Umenikumbusha project yangu ya chuo...

"Bluetooth appliance controller"

Nilikua nawasha vifaa vyote vya ndani kwa kutumia Bluetooth ya simu, kuanzia taa mpk TV au friji....
Kuongeza sauti kubadili channel n.k

Nilitengeneza program ya simu na circuit yake...

Baada ya kufaulu nikafunga vitabu.
 
Kaniikuimbuiisha pia nilikuwa nimetengeneza 1989 nilitengeneza light sensor kwaajiliya ofisiyangu nilikuwa sihangaiki kwenda kuzima taa ofisini ama kwenda kuwasha ngoja nimuuliza hizo photocell anazipata wapi maana kuna kipindizilikuwa hazipatikani hizi photo cell ni nzuri sana
 
Umenikumbusha project yangu ya chuo...

"Bluetooth appliance controller"

Nilikua nawasha vifaa vyote vya ndani kwa kutumia Bluetooth ya simu, kuanzia taa mpk TV au friji....
Kuongeza sauti kubadili channel n.k

Nilitengeneza program ya simu na circuit yake...

Baada ya kufaulu nikafunga vitabu.
Ungejiendeleza aisee hii kitu mm siwezi kuacha maana ndio inanifanya nikomae kwenye ufundi zaidi
 
Incubator unatengeneza zile za mafuta ya taa au ambazo ni digital. Unaweza kutengeneza ambazo unaweza kuiembed na android phones.
naweza fanya interaction ya vyombo kama incubator na android phones mkuu.. kwa umbali wa karibu au wa mbali zaidi
 
Umenikumbusha project yangu ya chuo...

"Bluetooth appliance controller"

Nilikua nawasha vifaa vyote vya ndani kwa kutumia Bluetooth ya simu, kuanzia taa mpk TV au friji....
Kuongeza sauti kubadili channel n.k

Nilitengeneza program ya simu na circuit yake...

Baada ya kufaulu nikafunga vitabu.
Mkuu uko serious kweli?? Kwanini usiendeleze???
 
naweza fanya interaction ya vyombo kama incubator na android phones mkuu.. kwa umbali wa karibu au wa mbali zaidi
Mm naweza fanya kwa kutumia gsm technology nahisi hata wewe ndio unatumia hiyo
 
Umenikumbusha project yangu ya chuo...

"Bluetooth appliance controller"

Nilikua nawasha vifaa vyote vya ndani kwa kutumia Bluetooth ya simu, kuanzia taa mpk TV au friji....
Kuongeza sauti kubadili channel n.k

Nilitengeneza program ya simu na circuit yake...

Baada ya kufaulu nikafunga vitabu.
ita kuwa uli copy ukaona aibu kuiendeleza
 
Back
Top Bottom