UPDATES XPERIA & PlayStation App

UPDATES XPERIA & PlayStation App

Mwandwanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
3,057
Reaction score
1,573
Habari wanajamvi.

Tangu niliponunua hii simu mwaka 2015 nilikuwa napata tabu kuaccess PlayStation App maana nilikuwa naambiwa hii huduma haipatikani nchini kwangu.

Nilijaribu kuwasiliana na Sony Customer Care lakini nilikuwa sipati majibu, safari hii niliamua kuwatumia ujumbe moja kwa moja maana pale MLIMANI CITY NA ANISUMA walikuwa wananipa ahadi zisizo na utekelezaji.

Baada ya kutuma ujumbe mfululizo haya ndio matokeo niliyopata.

NIlianza hivi
1470566908519.jpg


Wakajibu hivi
1470566961942.jpg


Nikarudi tena
1470566978982.jpg


Ndipo wakasema hivi
1470567026675.jpg


Na baadaye kutumiwa ujumbe huu
1470567148935.jpg


Nilipofanya kama walivyosema mambo yamekuwa safi na nimeweza Access PlayStation kwenye simu yangu.
1470567373797.jpg

1470567380083.jpg

1470567386769.jpg


Kwa wale mnaotumia PlayStation ushauri wa games nzuri UNAHITAJIKA.

Tusameheane na hiyo lugha ya Malkia [emoji3]

[emoji767] Mchwa Shababi
 
MI natumia xperia aqua M4 Sina googke services, je nifanyeje maana hapa cna hata raha
 
Mkuu apart from your xperia z3 can anybody use note 3 use that service thru ps apps
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom