Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 21,011
wakuu naomba mnijuze gharama za kutengeneza na kumiliki website?
ni hatua gani za kufuata? kuna usajili unahitajika?
ni website ambayo itakuwa na taarifa ya vitu kama 2,000 na watu watakuwa wakisearch kupata taarifa. cc Chief-Mkwawa