View attachment 351166View attachment 351167
Leo wamezindua Logo mpya pamoja na Huduma Ya 4G LTE, je watakuwa wamebadirika pia katika ubora wa huduma zao?
Hizo t-shirt ni zao walivaa leo kwenye uzinduzi na wala haijatoka vibaya ni hivyo hivyo tu.Logo n nzuri sana huyo aliyeweka hapo awali kaiweka vibaya tu kwa interest zake mwenyewe.. Kapiga picha kwenye t shirt iliyo jikunja ili tu logo ikae vibaya
Ping yao na download speed ipoje?Nimetumia 4G yao kwa kama mwezi sasa. Wako vizuri sana. Ila wana gharama kidogo, but to me was justifiable...
Dah Nimetoka olaJaman Nani anamjua Mtu au kampuni iliyotengeneza Tangazo Jipya la TTCL???
Nataka kuwapa kazi. Plz anayewafahamu share details