Kioo cha simu kinaua nguvu ya macho,?

Kioo cha simu kinaua nguvu ya macho,?

tiku

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2015
Posts
441
Reaction score
259
Habari wana jamii forum naomba kuuliza hivi mimi natumia simu tecno j8 lkn nikitumia kwa muda mrefu labda kwa siku hata masaa matatu kichwa kinauma sana na macho yana vuta sana kuna wakati nasikia hadi kichefuchefu. Sasa najiuliza ni simu lbda au ni nn au ni kioo cha simu sijui naomba mnisaidie serious nahitaji saada kama ni simu nibadilishe haraka.
 
U shud adjust brightness to the medium/minimum level or automatic. Otherwise jaribu product ingine like iPhone & samsung afu uone what's the difference!
 
Kama ww ni ke kapime mimba lkn kama ni me kuna ulomtundika mimba
 
hapo kuna sababu kubwa mbili

1. unaangalia vitu vya low quality, kuna kipindi nilikuwa nikicheza vice city kwenye pc kwa muda mrefu naskia kichefuchefu nikagoogle nikaona sio mimi tu wapo watu wengi wana tatizo hilo zile pixel zenye quality mbaya ndio tatizo.

2. kioo cha simu ni kibaya, inawezekana ikawa content unayoangalia ina quality nzuri ila display ya simu ndio mbaya.

pia unapoangalia display kama ya simu, computer, tv nk hakikisha chumba au eneo ulipo kuna mwanga wa kutosha, usitegemee mwanga unaotolewa na hio display
 
Back
Top Bottom