Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
Habari zenu wanajamiiForums
Nilikuwa naulizia hivi tofauti kubwa ya MICROSOFT EXCEL na MICROSOFT ACCESS ipo wapi maana kama format ya data entry inaweza kutumika hata ukitumia Excel?. Nipo sahihi kweli ndugu zangu au kuna sehemu nakosea? Naombeni tofauti zake japo kiufupi naona bado inanichanganya.
Nawasilisha