Elimu ya bure kwa watumiaji wa Iphone tu!

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
727
548
Kama una taka ongeza nafasi kweny simu yako bila kufuta chochote fanya hivi
1. Angalia simu yako Ina gb ngap ambazo zime baki
2. Download file leny ukubwa zaid ya gb ambazo zimebak kwenye simu yako
3. Utapata msg ambayo Ina sema file can't be downloaded there no enough space
4. Delete lile file ambalo ulikuwa una download
5. Nenda kwenye storage chek simu yako uta gundua GB zime ongezeka kWa mana storage ime ongezeka bila kufuta chochote
UNA WEZA FANYA IYO PROCESS KWA KUILUDIA BILA KIKOMO NA KADRI UNA IRUDIA BASI NAFASI KWENY SIMU YAKO YA IPHONE NAYO INA ONGEZEKA
 
Kwa hiyo haina limit? Inaweza kufika hata GB 1000 ?
 
Upo sahihi, inafuta tu ule uchafu. Ni km kwenye Android tunavyo clear cache
Ahsante mkuu maana jamaa amefungua njia wewe ukaja ukatoa logic ila mtu anaejaza space iPhone huyo ni kiboko aisee inaelekea hana storage ya vitu vingine zaidi ya simu vinginevyo atakuwa mtu wa IT ambae ana mambo mengi ya ziada (16gb - 32gb si mchezo maana 10gb tu ni noma)
 
Sawa
 
Asante,lakini naomba msaada/-

1-Namna ya ku download youtube kwenye iphone 5s

2:-Namna ya ku kuweka radio kwenye iphone ambayo si lazima niwe online niweze kusikiliza,i.e hata offline

3:-Namna ya ku delete catches or deleted files
 
applications unazo taka ziko mbona AppStore
 
Icho kitu ni kweli kwenye kama ni iphone 4 unaweza ukaongeza mpaka 32gb na kama ni 32gb unaweza ongeza mpaka 64gb. Ila unaemda kwa 4gb hadi ifike hiyo
 
Back
Top Bottom