Z Zande Member Aug 9, 2016 7 1 Aug 9, 2016 #1 Njia kumi za kutunza chaji katika simu yako kudumu muda mrefu
jun bao Senior Member Jan 13, 2016 154 41 Aug 10, 2016 #2 Punguza brightness kwenye simu 2. Zima WiFi / Bluetooth / Data pale unakuwa huitumii 3. Tumia vibration pale inapohitajika. 4. Tumia Airplane Mode ukiwa sehemu isiyo na network reception 5. Funga applications ambazo huzitumii.
Punguza brightness kwenye simu 2. Zima WiFi / Bluetooth / Data pale unakuwa huitumii 3. Tumia vibration pale inapohitajika. 4. Tumia Airplane Mode ukiwa sehemu isiyo na network reception 5. Funga applications ambazo huzitumii.