mwanaume suruali
Member
- Jan 26, 2016
- 40
- 42
Ndugu yangu kama una swali lolote kuhusu iphone au ipad zenye iOs version yeyote, niulize nitakujibu.
ndugu yangu kama una swali lolote kuhusu iphone au ipad zenye iOs version yeyote,,niulize nitakujibu
natafuta fundi cm nina Sony Z touch imeharibika, wapi nitapata fundi mzuri nipo Mwanza
Nisaidie niweke whatsap kwenye ipadndugu yangu kama una swali lolote kuhusu iphone au ipad zenye iOs version yeyote,,niulize nitakujibu
Naona mtaalam kaingia mitini!ndugu yangu kama una swali lolote kuhusu iphone au ipad zenye iOs version yeyote,,niulize nitakujibu
Naona mtaalam kaingia mitini!
tumia iZipNi app gani nitumie ili ku share nyimbo kupitia whatsapp?
au tumia iDownloaderNi app gani nitumie ili ku share nyimbo kupitia whatsapp?
iPAD GANI UNATUMIANisaidie niweke whatsap kwenye ipad
IM BACKNaona mtaalam kaingia mitini!
0654889800Jamn nahitaji fundi cm aliebobea kwenye maswala ya softwere na cm huawei g.610 imewashinda mafund wengi so nahitaji msaada wa haraka vilevile nina cm HTC inahitajika boots file mwenye uwezo tuchekiane kwa dsm namba Yang 0714 591693
App gani unaweza kutumia ku download videondugu yangu kama una swali lolote kuhusu iphone au ipad zenye iOs version yeyote,,niulize nitakujibu
App gani unaweza kutumia kulock app zngne kama Whatsapp ..photos etcndugu yangu kama una swali lolote kuhusu iphone au ipad zenye iOs version yeyote,,niulize nitakujibu
*5005*86*0123456789#How to change a voice mail number
idownloaderApp gani unaweza kutumia ku download video
Natumia ipad mini mkuuiPAD GANI UNATUMIA