Nisome cozi zipi ili niweze kuwa White hat hacker

martial arts

Senior Member
Joined
Jun 26, 2014
Posts
191
Reaction score
100
Hey guys mimi nahitaji kuwa mmojawapo wa hackers hatari zaidi duniani,je ni course zipi za kusomea ambazo ni za muhimu for someone to become a hacker ? Msaada tafadhali
 
hey guys mimi nahitaji kuwa mmojawapo wa hackers hatari zaidi duniani,je ni course zipi za kusomea ambazo ni za muhimu for someone to become a hacker???msaada tafadhali

Unataka kuwa white hat afu uwe "hatari" tena....
By the way unataka uwe una hack nini coz hacking cover many areas ?
 
Upo nchi gani?
Unasoma chuo nchi gani?
hiyo ndoto ya hacker hatari zaidi duniani ipoteze tu sio kwamba na ku discourage ila kuna settings hazikupi hiyo favour kataa usikate
 
i mean nataka kuwa na uwezo wa kuweza kupenya na kuingia ktk computer system yoyote na uwezo wa kusolve unusal and complex problems involves computer at all....like kevin mitnick and albert gonzalenz
 
Brother soma networking na technologies zake, programming languages kama c java na nyingine, na ni vizur ukawa na knowledge ya computer science in general pia penda kuwa updated na mambo ya computer security
Also utafanya kazi kiurahisi kama ukiwa unafahamu linux
 
ahsante mkuu,so nikisoma IT in general itakuwa imenisaidia???
 
i mean nataka kuwa na uwezo wa kuweza kupenya na kuingia ktk computer system yoyote na uwezo wa kusolve unusal and complex problems involves computer at all....like kevin mitnick and albert gonzalenz

Kwanza unatakiwa uwe vizuri kwenye operating systems karibia zote, usisahau na za mobile devices. Piga Comptia Security+, socket programming, CCNA Security, CEH, just to mention a few kwa kuanzia hapa bongo. Kwa ishu yako usitafute chuo bora tafuta mwalimu bora. Usiwe kivyeti.
 
hey guys mimi nahitaji kuwa mmojawapo wa hackers hatari zaidi duniani,je ni course zipi za kusomea ambazo ni za muhimu for someone to become a hacker???msaada tafadhali

Anza sasa kuhack JamiiForums, ukifanikiwa utakuwa tayari hacker hatari. Baada happo fanya kama wale jamaa waliohack Sony Pictures Entertainment.
 
Kwanza unatakiwa uwe vizuri kwenye operating systems karibia zote, usisahau na za mobile devices. Piga Comptia Security+, socket programming, CCNA Security, CEH, just to mention a few kwa kuanzia hapa bongo. Kwa ishu yako usitafute chuo bora tafuta mwalimu bora. Usiwe kivyeti.

ahsante mkuu
 
i mean nataka kuwa na uwezo wa kuweza kupenya na kuingia ktk computer system yoyote na uwezo wa kusolve unusal and complex problems involves computer at all....like kevin mitnick and albert gonzalenz

Always good hackers learn different programming language(s)
mfano wewe unataka kupenya computer system yeyote, kitu ambacho kina depend na operating system ya computer yenyewe thats why i can say "hamna hacker anaeweza kupenya system yeyote ila baadhi ya system"
kwa kuanzia kuna vitu ambavyo hutumika ku penetrate different systems...

RATs/KEYLOGGERS/CRYPTER/BINDER = Usually C++, VB.NET

VIRUSES/MALWARES = ambazo ni very wide, na language yoyote ile inaeza kufit, na kawaida kitu cha kwanza kuangaliwa ni platform specific kama unataka ku infect binaries of that platform, na advanced viruses wengi hutumia ASM, hivyo basi ita depend na file format unalotaka kuli infect...

Advanced hackers code their own tools to accomplish a certain task...
Lakini binafsi ningekushauli usome kwanza programming languages tofauti kama kweli unataka kuwa advanced hacker starting on web/apps development mana wengi hujikuta waki shift from hacking niche ili wawe kimaslahi zaidi "Hacking inaweza kulipa/isikulipe"

Kawaida noobs wengi hushauriwa kuanzia web hacking, kwa kujifunza Java scripts, PHP pia SQL ambayo hutumika for database queries.
 
mkuu nataka kuwa karibu yako uweze kunipa mwanga zaidi
 
Kwanza unatakiwa uwe vizuri kwenye operating systems karibia zote, usisahau na za mobile devices. Piga Comptia Security+, socket programming, CCNA Security, CEH, just to mention a few kwa kuanzia hapa bongo. Kwa ishu yako usitafute chuo bora tafuta mwalimu bora. Usiwe kivyeti.

Certifications zote izo za nini ?
Na zina cost hela nyingi, mfano certifications za Cisco "CCNA" zina cost 250USD kwa test
what the hell mpaka u qualify na za comptia..

Binafsi nilikua napenda sana hash-cracking hasa hasa graphics card mfano nilipenda sana nijifunze CUDA for NVIDIA n.k

Kuna one of my friend anapiga security certifications ST, na ni mzuri kwa cryptography angeweza ata ku qualify Comptia.. Wapo na jamaa wengi tu wanapiga kozi kutoka Uganda, Kenya, Angola, Nigeria, Algeria, Marekani, India, China n.k ila sisi wabongo ndo zinaibuka comment kama hizi.

Upo nchi gani?

Unasoma chuo nchi gani?
hiyo ndoto ya hacker hatari zaidi duniani ipoteze tu sio kwamba na ku discourage ila kuna settings hazikupi hiyo favour kataa usikate

Kwa styles kama hizi hatutafika.
 
mbona wakuu mnanikatisha tamaa,

Upo nchi gani?
Unasoma chuo nchi gani?
hiyo ndoto ya hacker hatari zaidi duniani ipoteze tu sio kwamba na ku discourage ila kuna settings hazikupi hiyo favour kataa usikate

My comment inaweza kuonekana ni ya kukatisha tamaa lkn ime state clearly kwamba sio ya ku discourage so I will be here replying to this thread to defend my comment intelectually
Na siku zote huwezi kumshauri mtu katika swala la knowledge na skills bila kujua status yake ya Elimu...There is something we call History taking...Hapa namaanisha siwezi kukupa ushauri bila kujua upo chuo gani au bila kujua upo nchi gani?(This is a multi country forum, kuna watu wapo London humu JF) na kama umesoma science vizuri na kuielewa kwa asilimia fulani inayoeleweka utakua unajua the effect of environment on nature na kitu kinachoitwa Natural selection
We dont expect mtu ambae anasoma "St Kayumba" hajawai kuona pipette zaidi ya picha kitabuni apambane na mwanafunzi wa St Marian katika ku determine End point ya Titration...This is in accordance na wewe na Dream yako yako ya Penetration testing Hacker mmoja balaa duniani...
Yaani hapa namaanisha sio cha mtoto wewe uwe best penetration testing hacker duniani kiasi hicho kuzidi watu wote wakati nchi ulipo vitu vingi vinatengenezwa nje ya nchi yako na wala hamna easy accessibility ya hizo tools zinatoztumika katika penetration testing e.g Your dream is to be like Albert Gonzalez nilipopekua fasta naona huyu jamaa anasifika kwa reverse Engineering ya ATM cards na wanasema Born in 1981,je unavyofikiri wewe ambae tu probably haujui hata hiyo ATM mashine na credits zinatengenezewa wapi na zina involve knowledge ipi wakikupambanisha na huyu jamaa unafikiri utakua best kumzidi hata kama ungekua na knowledge ya issue kama hiyo...

Angalia mfano mwingine kuna Kitu kinaitwa Pay TV smartcards reverse engineering ambayo kui reverse ni very simple if and only if you can compile Oscam(Linux based s/w for card sharing) with a knowledge of how Nagravision,Irdeto and conax encryption systems works
Sasa angalia hawa AZAM TV na receiver zao na jiulize wamezitengenezea ughaibuni
na wanatumia Encryption ya Nagravision3 na inamilikiwa na watu wa Uswiss(Kudelski Group) sasa unafikiri If I where to compete in Penetration testing of Azam TV na mtu ambae ameifanyia Kazi Kudelski Group with my knowledge of Linux-sat,with a Smartcard Emulator from Ebay,my Old desktop(512MB RAM) with Ubuntu server installed and with Linux s/w(Oscam compiled by other guys out there)...Je,unafikiri nani ageshinda? assuming nimeiva hilo eneo

My dear friends Charles Darwin Natural selection works in our real daily lives

Hivo nilichokitegemea kutoka kwako na wenzako walosema my comment is OLD myth nikuniuliza may be kwa nn nilisema ni next to impossible uwe nchi fulani(I never mentioned Tanzania) afu uwe Best White Hat hacker wa dunia its either impossible or next to impossible in accordance to my examples above
No Research/No observation, no right to speak
Yes nakubali you can have knowledge to a certain level tena best level hata ya kuitisha nchi yako lkn level za Dunia sio game la mtoto ndugu

hey guys mimi nahitaji kuwa mmojawapo wa hackers hatari zaidi duniani,je ni course zipi za kusomea ambazo ni za muhimu for someone to become a hacker???msaada tafadhali

You are welcome to Object back to njunwa wamavoko's comment
 
History changes. Tz history is changing too
Ukitaka kuwa hacker mzuri locate areas. Otherwise utabakia kuwa unagusagusa tu.
 
Kua hacker kuweza kuingilia systems mbalimbali from bongo inawezekana kabisa, sema it takes a lot of effort, na hii si Tanzania peke yake, it takes a lot of effort and years of practice, by years namaanisha yaweza chukua hata a decade or more unless you are a genius, wapo prodigy sema hao ni special cases.. Sasa kwa binadamu wa kawaida inabidi upende vitabu, soma vitabu vingi sana na uhakikishe umevielewa, master programming languages nyingi ambazo ni za muhimu,

Ukitaka kumuingilia mtu umuibie vizuri,ni vizuri ujue ramani yake kwanza. Maliza vitabu hata 100 vya programming, soma advanced concepts mbalimbali, soma algorithms, soma databases, soma hadi vitu vya ndani zaidi kama computer architecture, assembly language, networking concepts, ujue information ina flow vipi sio tu kujua binary digits ni 1 0.. Its a very long road, interesting lakini kama unasoma huku kichwani umeweka kua nataka niwe flani, probability kubwa utaishia katikati utakimbia. Soma language moja uielewe vizuri, sio syntax peke yake, uingie kwenye advanced concepts na uhasolve as many problems as you can, thousands of problems kabla hujaanza lugha nyingine.

Penda HISABATI, aisee mathematics concepts zinatumika sana zaidi ya watu wanavofikiri, wengi wakiona videos zile bill gates anasema programming ni kutoa, kujumlisha, kugawa na kuzidisha basi wanajua wamemaliza, In reality you need more than that... I myself napenda kuona watu wanajihusisha na programming, i think ndo field yenye chances nyingi kuliko field nyingine yoyote, inatumika kila sector, afu mara nyingi limits unakuta ni ujanja na imagination yako.
 
Back
Top Bottom