Fundi umeme
Senior Member
- Jun 17, 2016
- 116
- 24
Husika na kichwa cha habari hapo juu simu tangu aina ya techno c8 inaniandikia memory full ata kama inaonyesha kuna free space hata mb 200, nini tatizo na nifanyaje?
Angalia data usage yako.. Af uninstall zile apps ambaz zinatumia MBs nying..Husika na kichwa cha habari hapo juu simu tangu aina ya techno c8 inaniandikia memory full ata kama inaonyesha kuna free space hata mb 200, nini tatizo na nifanyaje?