msaada:Simu yangu inaniandikia Invalid Number

msaada:Simu yangu inaniandikia Invalid Number

Idd Ninga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
5,539
Reaction score
4,854
habari zenu wadau.
nahitaji msaada.
hivi simu ina maana gani pale nikipiga na yenyewe kuniandikia INVALID NUMBER ?
Nitashukuru sana.
 
habari zenu wadau.
nahitaji msaada.
hivi simu ina maana gani pale nikipiga na yenyewe kuniandikia INVALID NUMBER ?
Nitashukuru sana.
hilo ni tatizo la settings kwenye simu yako km ingekuwa invalid sim tungesema kuna tatizo la imei ama network locks (hiyo haijazimwa na TCRA)
 
Back
Top Bottom