Msaada: Simu inajiwasha nikichomeka chaja

RJ45

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2014
Posts
340
Reaction score
119
Poleni majukumu wakuu?

Nina simu yangu aina ya galaxy s3 nikiiweka tu kwenye chaji lazima ijiwashe na haiwezi kuchaji ikiwa imezima, mwenye kujua jinsi ya kusolve hii case anisaidie.
 
ikishajiwasha ukiizima inawaka tena? baadhi ya simu hazichajiki zikiwa off ila s3 inakubali kuchajiwa ikiwa off. ni international version?
 
bla shaka mkuu inaweza kuwa international version maana nliichukua kwa mtu halaf ni tofauti na s3 zingine maana in internal 32GB halaf yenyewe ni s3 LTE version yeny android version 4.4.4
 
kama ina lte na kitkat sio international, pengine huo mtandao ambapo hio simu imetoka ndio unasababisha hivyo
 
asante mkuuu.... japo cjaelewa vizuri kuwa international version inamaanisha nini na vip kuhusu hiyo hali haiwezekan kusolve?
hii lte version ipo had gsmarena
 
Back
Top Bottom