Tecno boom J8, Msaada!

Sasha7

JF-Expert Member
Apr 19, 2014
233
56
Habari zenu wakubwa,Week iliyopita nilinunua tecno boom J8 Mliman City pale,sasa naona touch yake haiko sensitive kabisa yaani mpaka ubonyeze Kwa nguvu ndio zinasense

Je kuna uwezekano WA kuongeza sensitivity kwenye simu? msaada tafadhali

Specifications nyingine zote ziko vizur isipokua hapo kwenye upande WA touch tu!! Msaada tafadhali.

Cc njunwa mavoko
mwl rtc
Chief mkwawa

etc
 
Habari zenu wakubwa,
Wiki iliyopita nilinunua Tecno Boom J8 Mliman City pale, sasa naona touch yake haiko sensitive kabisa yaani mpaka ubonyeze kwa nguvu ndio zinasense

Je kuna uwezekano wa kuongeza sensitivity kwenye simu? msaada tafadhali

Specifications nyingine zote ziko vizuri isipokua hapo kwenye upande wa touch tu!! Msaada tafadhali.

CC Njunwa Wamavoko
mwl rtc
Chief-Mkwawa

etc
 
Go to settings
Language and input
Pointer speed
Increase speed
Tap okey
Halafuchunguza kama sensitivity imeongezeka ila by default unatakiwa ukute ipo 50%
 
Go to settings
Language and input
Pointer speed
Increase speed
Tap okey
Halafuchunguza kama sensitivity imeongezeka ila by default unatakiwa ukute ipo 50%
ahsante sana mkuu nimeongeza mala me I should saivi kidogo ina nafuu japo sio saana lakini atlist inaridhisha

shukrani saana mkuu
 
ata me nimenunua boom j8 yangu last week na hilo tatizo la touch kua ngumu nimeliona kwakweli inanitia simanzi,,nashindwa kuelewa ni kwanini

me yangu nimeinunulia kwa mawakala wao tecno pale posta jumbo shop na touch ni ngumu kama unavyosema ngoja wataalam waje labda tutapata suluhu
 
Wengi wanalalamika kuhusiana na touch ya tecno boom j8 inawezekana kweli ni tatizo,,maana nishasikia watu zaidi ya watano walionunua tecno boom j8,,kama kuna agent wao humu aje atoe solution

poleni sana fanyeni subra!!!!!!!
 
Habari zenu wakubwa,Week iliyopita nilinunua tecno boom J8 Mliman City pale,sasa naona touch yake haiko sensitive kabisa yaani mpaka ubonyeze Kwa nguvu ndio zinasense

Je kuna uwezekano WA kuongeza sensitivity kwenye simu? msaada tafadhali

Specifications nyingine zote ziko vizur isipokua hapo kwenye upande WA touch tu!! Msaada tafadhali.

Cc njunwa mavoko
mwl rtc
Chief mkwawa

etc
pole dear..ngoja wataalam waje kutoa mawazo yao yakinifu kwa namna moja hadi nyingine yatasaidia wahanga!!
 
Wadau mbona wanitisha na touch kuwa mgumu maana ndo nipo ktk heka heka za kwenda kuichukua mda sio mrefu hiyo J8
 
Habari zenu wakubwa,Week iliyopita nilinunua tecno boom J8 Mliman City pale,sasa naona touch yake haiko sensitive kabisa yaani mpaka ubonyeze Kwa nguvu ndio zinasense

Je kuna uwezekano WA kuongeza sensitivity kwenye simu? msaada tafadhali

Specifications nyingine zote ziko vizur isipokua hapo kwenye upande WA touch tu!! Msaada tafadhali.

Cc njunwa mavoko
mwl rtc
Chief mkwawa

etc
Umenunua sh. Ngapi
 
Umenunua simu Mlimani City mnapopaamini ukapewa Simu fake touch inasumbua,mimi nimenunua Boom J8 Tunduma boda mwezi wa 5 sasa simu wala haina tatizo ipo safiii mi na touch tu
 
Kuna update wame toa inasemekana ina solve hilo tatizo, kwa walio fanikisha walete feed back.
 
Back
Top Bottom