Confirmation kwa anae tumia Boom J8

Confirmation kwa anae tumia Boom J8

Mkuu hauna uhakika na process yako....au ww fundi simu?
Hilo ni angalizo tu, kama hujaelewa mtu anapo miliki simu anauwezo wa kuifanya chochote ikiwemo ku ROOT Sasa zipo update nyingine hazikubali kwenye simu zilizo fanyiwa ROOT.
Zaidi hapo utaishia kuiharibu.
 
Nimekupata mkuu....kuna uzi jamaa mmoja aliuleta kuhusu kuroot simu zao....nadhan waanzie huko kama huo nao ni msahada ktk kuzilinda simu zao.
 
Back
Top Bottom