Nina Chaja ya laptop ambayo inaweza tumika kwenye umeme wa Gari,Battery ya Gari au Solar(input 11V to 14V) kwa ajil ya kuchajia laptop,inaweza tumika kwa aina 8 tofauti za laptop(ina pin 8 so...
Wakuu nina pc yenye ram 2gb, intel core 2 duo 2.4ghz processor.
Nataka nikanunue video card ili nicheze game kama GTA 5.
Naomba ushauri maana mi sio mjuzi wa haya mambo, ninunue video card ipi?
Na...
Wakuu whatsFapp yangu imepigwa ban ila GB WhatsApp ninayo iko fresh mtu anipe valid link ya kupata Cranked app ingine ya WhatsApp inayopiga mzigo tofauti na GbWhatsapp
Naomba msaada Wa kuckrack easy video maker 5.26 au software yoyote ya kuedit video nzuri kwa beginner ilimradi isiwe trial version.
Natanguliza shukrani.
Naombeni kujulishwa kwa wale wataalam wa IT mbona bundle ya Vodacom inaisha haraka kuliko ya Halotel. Nimetumia line ya halotel kwa miezi mitatu sasa nikinunua mb 500 ambazo zinaisha kwa muda wa...
Wakuu... Nimekutana na jamaa online wanauza lens flani hivi ambazo unaweza funga kweny simu yako, kwa hapa bongo nmeona hadi sh 20,000 kama gharama.
Sasa naomba kujuzwa je kuna optimization...
download android apps and games for free,nimetupia link za list ndeeefu za kudownload games na apps za android za bure na za kununua
http://www.ardroid.net/apps/...
Wakuu nimekuja mbele yenu naomba mwenye ufahamu zaid juu ya kanzisha kuendesha blog inaitajika mtaji wa shilingi ngapi NA ni city gani vinaitajika sanasana nitashukuru kwa msaada
Firmware Update for Huawei B960
Firmware Update for Huawei B970
Firmware Update for Huawei D100
Firmware Update for Huawei E150
Firmware Update for Huawei E122
Firmware Update for Huawei...
Wakuu habari zenu kuna simu ya tecno N2 ilisumbua nikarestore factory setting sasa tatizo ili kurudi tena inadai uingize email ya kwanza kabisa yaani google account iliyotumika mwanzoni nikiingiza...