Msaada wa WhatsFapp WhatsApp plus

Bonesmen

JF-Expert Member
Jan 18, 2016
929
991
Wakuu whatsFapp yangu imepigwa ban ila GB WhatsApp ninayo iko fresh mtu anipe valid link ya kupata Cranked app ingine ya WhatsApp inayopiga mzigo tofauti na GbWhatsapp
 
GB whatsup ina more features zaidi ya whatsup. Mfano kubadili themes tofauti tofauti, kubadili rangi la launch icon yako kwenda rangi tofauti tofauti, kubadili rangi ya notification icon yako, kubadili style ya chat stick, waweza tuma video ya MB 30 badala ya MB 16, waweza tuma picha 90 kwa pamoja badala ya 10, na features nyingine nyingi, hizo ni baadhi tu
 
Mambo vp nisaidie na Mimi jinsi ya kupata hiyo gbwhatsapp
 
GB whatsup ina more features zaidi ya whatsup. Mfano kubadili themes tofauti tofauti, kubadili rangi la launch icon yako kwenda rangi tofauti tofauti, kubadili rangi ya notification icon yako, kubadili style ya chat stick, waweza tuma video ya MB 30 badala ya MB 16, waweza tuma picha 90 kwa pamoja badala ya 10, na features nyingine nyingi, hizo ni baadhi tu
Mkuu eb nisaidie mm gb whatsapp inakubali badae lookout wananiletea alert kuwa nifute hyo app n risk kwangu nifanyeje ili ili isije mm naipenda sana gb whatsapp pls nisaidie
 
gb whatsap iko poa sana.... kama kuna mtu anaitaka anichek inbox nimtumie.... NOTE:kuwa na telegram ni lzma ili niweze kukutumia
 
Back
Top Bottom