Olsea
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 473
- 297
Nina Chaja ya laptop ambayo inaweza tumika kwenye umeme wa Gari,Battery ya Gari au Solar(input 11V to 14V) kwa ajil ya kuchajia laptop,inaweza tumika kwa aina 8 tofauti za laptop(ina pin 8 so unachagua 1 kulingana na laptop yako).Toka nimeinunua sjawah kuitumia so kama kuna Mtu anahitaj anichek anipe hela kidogo nimuachie
0714214406
0714214406