Nahitaji kutengenezewa social network apps katika android

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
21,318
50,532
Mwenye kujua gharama na utaalam wa kutengeneza hizi application tafadhal anisaidie ninatamani kuwa na apps yangu mwenyewe
 
Itategemea tu na juhudi zako binafsi,hw much you are willing kujituma kwa ajili hiyo.Cost itategemea na wewe utafanya nn na kwa kiasi gani,na kiasi gani utamlipa mtu akufanyie..kama una misuli ya kujifunza unaweza jifunza mwenyewe kupitia tutorial online mpk ukatengeneza mpk kuidistribute
 
Back
Top Bottom