Msaada: Kufunga nyaya kwenye switch!

Msaada: Kufunga nyaya kwenye switch!

emboaba

Senior Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
143
Reaction score
117
Msaada nataka kupiga wiring ya umeme wa solar. Tatizo kufunga nyaya kwenye switch na holder za bulb (cjaelewa ipi ianze na ipi ifuatie)

Nawasilsha
 
Hebu tafuta fundi asee uko maeneo gani!?
 
Taluma za watu aisee, utaunguza vifaa na nyumba. Wafute mafundi tafadhali
 
Mkuu ni rahisi tu nicheki kwa wahtsap..
0688 990 975 nikuelekeleze kwa picha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom