Msaada wa jinsi ta ku set intanet kwenye modem

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
841
133
Habari za humu ndani ndugu zangu,
Tafadhali naomba msaa wenu, nina modem ya UNIVESAL hiz ambazo zinauzwa bila service provider, kila niki connect haikubali,
Naomba mwenye kujua miweke vitu gani kwenye setting za APN au namna yoyote ile ili i connect,
maana naona mitandao ya nchi mbalimbali tu kasoro TANZANIA ndo haimo
Asanten sana
 
Attachments

  • 20160908_013728.jpg
    20160908_013728.jpg
    82.5 KB · Views: 38
nenda tools halafu option halafu profile management tengeneza mpya

connection name andika chochote apn ni internet na dial number ni *99#
img7.jpg

save kisha ukiconect hakikisha ni hio profile yako unayo connect nayo
 
shukran mkuu Ngoja nijaribu nilete feedbai
 
Nmefanya ivo lakin bado kuna shida sipati INTERNET ACCESS
 
Attachments

  • mod.jpeg
    mod.jpeg
    35.4 KB · Views: 40
Back
Top Bottom