Msaada: Application ya camera imepotea kwenye laptop

Msaada: Application ya camera imepotea kwenye laptop

Kitabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
313
Reaction score
29
Naomba msaada wakuu, application ya camera kwenye desktop ya laptop(sijui kama niko sahihi hapo kwenye uandikaji) haionekani, nifanyeje niirudishe?????
 
Ataikuta huko labda amefuata icone kwenye desktop kwa bahat mbaya
 
windows gani? kama ni kuanzia 8 search store camera utaikuta kama ipo ndani ya pc utajua na kama ulifuta bahati mbaya utapewa option ya kuieka tena
 
windows gani? kama ni kuanzia 8 search store camera utaikuta kama ipo ndani ya pc utajua na kama ulifuta bahati mbaya utapewa option ya kuieka tena
natumia windows 7 mkuu
 
jamani me naona watu wakitumia laptop ila siijui inaumuhimu gani naomba munijuze mm ninacho kijua mm magame ya windows huaga yanakuwa mazuri kuliko yakwenye cm maana simu nyingi niandroid so anyway naomba munipe matuminzi makubwa ya laptop karibu
 
Back
Top Bottom