Mackbook (apple laptop)

Mackbook (apple laptop)

lucas more

Senior Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
108
Reaction score
27
Habari ndungu wakubwa kwa wadogo
Naombeni msaada nmepata laptop kutoka dubai kwa sh laki sita aina ya mackbook pro (apple laptop) sasa jinsi ya kuisafirisha kuja tz nifanyeje?
 
Kuna shipping companies kibao zinazozunguka worldwide, sema kwa mzigo moja peke yake ni gharama,
kuna DHL, EMS, FedEx, USPS.
Ila kwanza nitajiuliza mara mbili kama hiyo MacbookPro ni original au mchina ule unaokuja na windows 7 au hackintosh. Laki sita ni pesa ndogo kwa Macbooks, hata used version ya 2014 haishuki 1.8Million, unless hiyo version yako ni ya zamani sana kwenye 2011 which makes it useless ni bora usinunue tu, ma ya 5 years before utapata tabu battery na size yake ni kubwa, hdd iko very slow, you'll be better of with a new pc kwa hiyo bei.
 
Asante mkuu lkn hapa bongo laptop mpya ni ghali sana
 
Hiyo bei sijakupa ya bongo, na pia mac laptops bei yake ni universal, hawana bei chini sehemu yoyote dunia nzima. Siku hizi Tanzania vitu vingi bei yake ni sawa na ya nje, hasa electronics na fashion, vitu kama gari tu ndo bado vina bei kubwa kwa sababu ya ushuru wa 100%. We unavyodhani bei inaweka shuka toka 1.8Million hadi 600K kweli?
 
zipo mac book za core 2 duo huku tz zinauzwa bei za kutupa.
 
Ghairi ndugu kama uko serious njoo nikuuzie yangu Mac book pro hdd GB 500 ina ios ya Mac na pia unaweza kutumia window 7 ya Microsoft niliibiwa btry but zinapatikana Upanga na Jmall town
 
Hizo zitakua za 2011, tena macbook air, ila macbook pro laki sita mkuu? Hiyo ni kama $300, hata used ya 2013 hupati kwa hiyo bei unless ni mbovu mno au imepasuka display.
2011 tayari core i3/i5/i7 zimeshatoka, zilikuwa 2nd generation tena. core 2 duo ni 2009 kurudi.

cheki bei zake ebay
MacBook Pro Intel Core 2 Duo Apple Laptops | eBay

zipo za kutosha chini ya dola 300.

simu nyingi zina perfomance kuliko core 2 duo, hivyo usishangae zikiwa bei rahisi hivyo
 
Back
Top Bottom