Ushauri Kwa Hii Laptop!!!

Ushauri Kwa Hii Laptop!!!

Chige

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2008
Posts
13,493
Reaction score
29,888
Guys nina Lenovo Laptop yenye specifications zifuatazo:

Processor: Intel(R) Celeron(R) CPU N2840 @2.166GHz 2.16GHz
RAM: 2 GB
System Type: 64-bit
OS: Windows 8.1

In short hii Laptop ni pasua kichwa... ipo slow hadi inakera! 90% ya matumizi yangu ya laptop yanaihusisha na matumizi ya internet and there's no way naweza kuwa na less than 3 active windows at a time na hivyo kufanya hali kuwa ngumu zaidi!!

Sasa basi nauliza wataalamu mnadhani ni nini nikifanya kwenye hiyo laptop speed yake inaweza kuwa improved? Mathalani, nikiongeza RAM to 4GB inaweza kuwa vizuri?! Je, nikipiga new windows, for instance Windows 10 hali inaweza kuwa improved?! Kama si lolote kati ya hayo, ni nini basi naweza kufanya?!

Thanks in advance guys!
 
laptop ambazo processor zake zinaanziwa na N zimetengenezwa kushindana na chromebook
-nyingi bei zake ni chini ya laki 5
-zimtengenezwa kwa ajili ya kubrowse
-zinakaa sana na charge

wala usihangaike sababu nyingi hazibadilishiki ram, na hata ukiongeza hutapata boost kubwa sana sababu processor ndio ipo slow.ushauri wangu iuze hakuna utakaloweza kufanya, wapo watu wanataka laptop za design hio. mimi yangu kama hio inakaa na chaji masaa 14 na ina 32gb internal nimeinunua special kwa ajili ya ofisini inarun office na software ya ofisi hata wakate umeme siku nzima sipati tabu. wapo wanafunzi ambao wanatumia office tu wauzie.
 
Thanks kwa ushauri mkuu!
 
Hivi mkuu huwezi badilisha processor?
 
Hivi mkuu huwezi badilisha processor?
processor unaweza badilisha ila za familia moja tu,

hizo zinazoanziwa na N zimegandishwa hivyo ni ngumu kwa mtu wa kawaida kuibadili, na hata ukifanikiwa kuibadili ni kazi bure sababu familia hii processor kubwa zaidi nayo pia ipo slow. zinatumia watts 4 hadi 10 ni kwa watu wasio na matumizi makubwa wanaotaka laptop za bei rahisi zinazokaa na chaji
 
Shukran mkuu!

Sent from my GT-I8190 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom