Masada wa haraka unahitajika

Masada wa haraka unahitajika

proxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
1,481
Reaction score
1,355
Nina laptop yangu case (housing) yake imeisha, Kwa yeyote mwenye case ya Toshiba settilite 650 tuwasiliane wakuu 0687535650
1472887942977.jpg
 
Mbona chafu sana,imeishaaa au imechafuka mkuu[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Ni machine ya Kazi mkuu
 
Hizo mashine ambazo ni discontinued hupati cover kirahisi, ningekua wewe ningeifungua niisafishe mwenyewe tu au kununua laptop mpya.
 
Back
Top Bottom