Msaada wa haraka wakuu activation ya windows 8.1

Blank page

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2015
Posts
6,160
Reaction score
6,303
anaefahamu activation code ya windows 8.1 jamani naomba anisaidie au jinsi ya ku activate hiyo window please wakuu maana kila mara napata ujumbe wa kuactivate window kwa maana hiyo product key yao sina.nawasilisha wakuu
 
Download program inaitwa kmspico itakusaidia
 
nimeidownload hapa mkuu nipo nayo ila jinsi ya kuitumia na kuifungua ndo shida inagoma kufunguka......msaada please more infoz
 
inawezakana hyo program iko kwenye rar type, unaweza ukadownload pia WinRAR program then ukalifungua uka activate, au kama vipi ni inbox nkutumie email nkurushie mana file zote hzo na program siyo kubwa sana
 
Download winrar kama alivyosema mdau then extract utaikuta program yako ndan...
Ukiweka picha itakua rahisi kukusaidia
 
sawa wakuu hapo juu ngoja nifanye ivo as u hav instructed me,
 
inawezakana hyo program iko kwenye rar type, unaweza ukadownload pia WinRAR program then ukalifungua uka activate, au kama vipi ni inbox nkutumie email nkurushie mana file zote hzo na program siyo kubwa sana
MKUU NIMEJARIBU NA MIMI LAKINI IMEKAATA KUACTIVATE WINDOW 8.1 PRO
 
Back
Top Bottom