Msaada: Kioo cha simu kimeweka wino, jinsi gani naweza kutatua tatizo?

JayJay11

Senior Member
Dec 9, 2015
136
139
Habari za muda
leo asubuhi nimewasha simu yangu nikakuta imeweka wino kwenye kioo
naomba mnisaidie kutambua tatizo kama linavyoonekana hapo kwenye picha
Screenshot_2016-09-01-11-42-17.png
Screenshot_2016-09-01-11-42-17.png
 
Hehehe, nimecheka sana.. Kioo kinaharibika unatuchukulia screenshot, duh! Hii ni world record.
Samahani sana mkuu kwa kucheka.
 
Mkuu hiyo simu itakuwa imepatwa, Kwa hiyo kuanzia leo aza kuita Mwakasimu.
 
Back
Top Bottom