Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 9,781
- 14,329
Wakuu nina document nataka nizitume sehemu sasa najiuliza Simu yangu ina Camera Nzuri je naweza Kupiga Picha? Ili nizibadilishe ziwe katika mfuno wa PDF kisha nikazituma? Vipi kule akitaka Kuprint zitatokaje naomba majibu huku niliko ku scan Gharama sana wadau.