Msaada wa Ku Unlock Broadband ya Smile LET

Msaada wa Ku Unlock Broadband ya Smile LET

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,009
Reaction score
14,618
[Wakuu naomba msaada wa Ku unlock Broadband ya Smile LTE/4G nimeweka line nyingine lakini bado inaandika Smile 4G. Naombeni mbinu za Ku Unlock itumie laini zote.

Hii device inaitwa

Franklin
Model-R711
Made In Korea

=full]395714[/ATTACH]

C. c @Njuwa mavoko CHIEF MKWAWA and others
IMG_20160907_153657.jpg
IMG_20160907_154114.jpg
 
ungeuliza kabla ya kuinunua maana kuna MiFi za Huawei kwa bei hiyo hiyo pengine pungufu ambayo inaweza kuingiza LTE Networks zote za TZ,tofauti na hapo hii inaitwa ndoa ya kikristro!
Umetoa msaada gani hapa sasa?
 
Umetoa msaada gani hapa sasa?
Msaada gani unataka zaidi ya kuambiwa hiyo ni ndoa ya Kikristo!

Yaani hapo namaanisha hiyo device ukishanunua haingizwi line nyingine kama uonavyo ndoa ya kikristo ambavyo mwanaume anafungwa kwa mke mmoja!

Msaada pekee alopewa siku akitaka nunua GSM device ajue varities ambazo zinatoka Lock kwa urahisi na bila kuhangaika na Devices ambazo Hazitoki Lock Kilaini kama hizi!
 
0715378899,utafurah na roho yako kariAkoooo
 
Msaada gani unataka zaidi ya kuambiwa hiyo ni ndoa ya Kikristo!

Yaani hapo namaanisha hiyo device ukishanunua haingizwi line nyingine kama uonavyo ndoa ya kikristo ambavyo mwanaume anafungwa kwa mke mmoja!

Msaada pekee alopewa siku akitaka nunua GSM device ajue varities ambazo zinatoka Lock kwa urahisi na bila kuhangaika na Devices ambazo Hazitoki Lock Kilaini kama hizi!
Wakati mwingine wacha kufananisha ndoa na vitu vya kijinga [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom