MSAADA NAHITAJI LAPTOP YA CHINI YA LAKI NNE NA NUSU

KAFA.cOm

JF-Expert Member
Jun 22, 2013
1,301
738
habari zenu wadau
mimi ni kijana mdogo tu nategemea kwenda chuo kiku mwezi ujayo..nimeplan kununua laptop kutokana na kukosa uzoefu nimekuja hapa ili nipate ushauri wenu....ningependa sifa ya laptop hiyo ni
4gb ram,na 512gb internal storage
karibuni
 
Kusema tu yenye 4GB ram na 5120GB HDD inaonyesha wazi IT sio field yako.

Kwenye Macntosh computer (apples) ndiyo tuna HDD za 512 na 256 ambazo nazo ni ssd not HDD.

Kwa laptop za kawaida..tuna HDD za 80 GB,160gb,250gb,320,500gb,1TB na kuendelea.Aidha umesema tu ram na storage hujasema processor.. Ni size gani..which is very important kuliko vyote ulivyohitaji..unaweza ukapewa laptop hata yenye HDD ya 2TB but processor yake ni pentium.. Itakusaidiaje??

Njoo ofcn kwetu Dar tukuzie dell vostro cori i3 processor 2.4ghz ,ram 4gb na HDD 320 kwa laki 450,000 warrant miezi 6.Dukani.
 
windows pia zina ssd sio mac tu,
 
asante ndugu wewe ndo nilikuwa nakuhitaji...nahitaji laptop safi kaabisa.....ambayo itanisaidia nikiwa chuo
 
KUNA ASUSU LAPTOP...
RAM 2GB
HARD DISK 500GB
INTEL CORE GRAPHICS
HDMI
MPYAAA...nicheck kupitia 0717251751
 
Kusema tu yenye 4GB ram na 5120GB HDD inaonyesha wazi IT sio field yako.

Kwenye Macntosh computer (apples) ndiyo tuna HDD za 512 na 256 ambazo nazo ni ssd not HDD.

Kwa laptop za kawaida..tuna HDD za 80 GB,160gb,250gb,320,500gb,1TB na kuendelea.Aidha umesema tu ram na storage hujasema processor.. Ni size gani..which is very important kuliko vyote ulivyohitaji..unaweza ukapewa laptop hata yenye HDD ya 2TB but processor yake ni pentium.. Itakusaidiaje??

Njoo ofcn kwetu Dar tukuzie dell vostro cori i3 processor 2.4ghz ,ram 4gb na HDD 320 kwa laki 450,000 warrant miezi 6.Dukani.
mkuu vip graphic yake na hii laptop ni generation ya ngapi?? nataka kumnunulia mdogo wangu laptop
 
Back
Top Bottom