Nimefika hapa nimechemka

Nimefika hapa nimechemka

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
470
Reaction score
137
Nilikuwa nakamilisha usajili wa visa kwenye paypal nimefika hapa nilichoulizwa nimeshindwa kukielewa, msaada jamani
 
Angalia attachment hapo chini
1473177321358.png
 
Weka zile namba tatu za mwisho...ni namba zilizoandikwa nyuma ya kadi yako
 
Fuata maelekezo ya jamaa ukishindwa nicheki inbox
 
Akaunti hii huwa siweki hela nilikuwa najifunzia tu register,
 
Angalia attachment hapo chiniView attachment 394995
Kuna Site Niliweka Card Number tu na Jina langu la Card wakakata Pesa bila kujua Expiry wala CVV!

Kwanza nilitamania ku block card hiyo mara moja ila nkasema ngoja nione kama kitu nilichonunua kitafika!

Take Care siku nyingine ku share details kama hizo japo hazijakamilika ila ni Risk sana!
 
Back
Top Bottom