Huawei Y3ii kutoka Tigo Inanisumbua KuRoot

Elvicepride

JF-Expert Member
Apr 8, 2013
243
65
Guys mwenye ujanja wa ziada kitu kipya kuhusu kuroot anisaidie maana hii sim ni inshu kuroot nimejaribu njia zote kutoka apps za sim na za computer lakini wapi sana sana sim inaishia kujirestart ikiwa kwenye process ya kuroot.
Nilishazoea kukaa na sim ambayo iko rooted tokea 2012 hii sim nimeichukua mwezi wa 7 natamani hadi kuibadilisha!
Msaada wenu tafadhali
 
Back
Top Bottom