Mgboss
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 497
- 279
Habari
Leo nimenunua CD ya 'walking dead' sababu sikuimaliza kabla,
Cha kusikitisha nikiiweka kwenye Deki inaload bila mwisho pasipo kuplay, nimebadili CD mbalimbali nikagundua tatizo sio CD bali ni deki, nilipoifungua nimegundua inazunguka muda mfupi na kusimama, na ikisimama inagoma kufungua mlango kama ijioneshapo kwenye video hapo.
Naombeni msaada nifanyeje sababu mfukoni hali mbaya.