kabiriga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 1,163
- 1,214
Nimejaribu kutafuta habari za wapi nitapata chuo cha Kati ambacho kinafundisha ku-repair,service na mambo mengine Kama hayo,ktk vifaa vya elekitoroniki Kama smart phones,mobile phone na tablets.
Naipenda sana hii fani na nataka niifanye ki- professional na sio kubabia
Mwenye taalifa za kunisaidia tafadhari
Naipenda sana hii fani na nataka niifanye ki- professional na sio kubabia
Mwenye taalifa za kunisaidia tafadhari